MZIWANDA, SHILOLE..... DU..! KINOMANOMA MJINI DOM - MAGENDELA BLOG

Breaking

Recent-Post

ads header

Tuesday, October 14, 2014

MZIWANDA, SHILOLE..... DU..! KINOMANOMA MJINI DOM


Msanii mkali wa Bongo Fleva @Nuh Mziwanda akiwa bebe wake pande za Dodoma kwenye ukumbi wa Mtei Lounge waliswa na Camera za Paparazi wetu aliyekuwa Maeneo hayo, Inasemekana Shilole alikuwa anaenda msalani na kumwomba kipenzi chake amsindikize baada ya kutoka huko walizama chochoro na kuanza kunyonyana ndimi kwa hisia kali za mahaba yani zile za kipombe pombe

No comments:

Post a Comment