Mgeni rasmi,Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Michezo Bw. Leornad Thadeo akifungua bonanza la NGUVU YA KODI lililofanyika katika Viwanja vya chuo cha ustawi wa jamii katika siku ya kumbukumbu ya kuadhimisha miaka kumi na tano (15) tangu hayati baba wa taifa Mwalimu Julius K. Nyerere alipofariki Dunia Jijini Dar es Salaam. Tamasha hilo limemkumbuka Baba wa Taifa kwa kutoa Elimu na maelezo ya kutosha juu ya Kodi na Nguvu yake katika kuchangia maendeleo ya Taifa letu na Kukuza uchumi.
Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Michezo Bw. Leornad
Thadeo (kushoto) akiwa na Mratibu wa Shirika La Activista Ein Ahimidiwe wakati
akimkaribisha kusaini katika ubao wa saini
Thadeo (kushoto) akiwa na Mratibu wa Shirika La Activista Ein Ahimidiwe wakati
akimkaribisha kusaini katika ubao wa saini
Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Michezo Bw. Leornad
Thadeo akisai ubao kuungana na Activista pamoja na Action Aid Tanzania katika
upingaji wa watu kuto kulipa kodi
Thadeo akisai ubao kuungana na Activista pamoja na Action Aid Tanzania katika
upingaji wa watu kuto kulipa kodi
Mkurugenzi wa Fedha wa TRA Bw.Salehe B Msholo ambaye alikuwa mgeni Rasmi katika bonanza akitia Saini yake katika ubao wa saini katika uwanja wa ustawi wa jamii siku ya kumbukumbu ya kuadhimisha miaka kumi na tano (15) tangu hayati baba wa taifa Mwalimu Julius K Nyerere alipo fariki Dunia Jijini Dar es Salaam
No comments:
Post a Comment