Alaa Lord Eyes... alichangia Barakah kujiingiza kwenye muziki - MAGENDELA BLOG

Breaking

Recent-Post

ads header

Thursday, March 2, 2017

Alaa Lord Eyes... alichangia Barakah kujiingiza kwenye muziki


Naj& Barakah The Prince
EBANA kama ulidhani Barakah The Prince zake ni R&B tu basi unajidanganya, jamaa unaambiwa mwanzoni kabla ya kuanza kuimba alikuwa anarap ile mbaya, sasa si ndo kaamua kumtaja mkali wa Hip Hop Bongo!


Ubuyu uko hivi, Barakah The Prince wakati akihojiwa na Runinga ya EATV kwenye kipindi chake cha Planet Bongo aliamua kufunguka kuhusu Rapa anaemhusudu ambapo alimtaja mkali kutoka Arusha, Lord Eyes.
Barakah anasema yeye binafsi amekuwa akimkubali Lord tangu enzi hajatoka ambapo rapa huyo alikuwa akitamba na kundi lake la Nako 2 Nako na ndiye aliyemvutia kuingia kwenye muziki wa Bongo.

“ Mimi mfalme wangu wa Hip Hop ni Lord Eyes, na hao watu wanaomdiss kusimamiwa kazi na mimi ni waoga tu kwa sababu wanajua uwezo wake hivyo kuona yupo chini ya lebo yangu ya Bana wanaanza kuogopa wakihofia nafasi zao,” Anasema Barakah ThePrince.

No comments:

Post a Comment