PROFESA MBARAWA AKAGUA UJENZI TERMINAL III - MAGENDELA BLOG

Breaking

Recent-Post

ads header

Thursday, March 2, 2017

PROFESA MBARAWA AKAGUA UJENZI TERMINAL III


 Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Prof. Makame Mbarawa akitoa maelekezo kwa Mkandarasi wa Kampuni ya  BAM International inayojenga Jengo la Tatu la abiria katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) jijini Dar es Salaam.
 Mkuu wa timu ya usimamizi wa ujenzi wa Jengo la Tatu la abiria katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), jijini Dar es Salaam, Eng. Julius Ndyamukama (kushoto) akimuonesha Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Prof. Makame Mbarawa ramani ya miundombinu katika jengo hilo alipofanya ukaguzi mapema leo.
Muonekano wa jengo la Tatu la abiria katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), jijini Dar es Salaam likiwa katika hatua za mwisho za ujenzi. Imetolewa na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini , Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano

No comments:

Post a Comment