WAZIRI MAHIGA AKUTANA NA MKURUGENZI MTENDAJI WA KAMPUNI ARKADIA LTD - MAGENDELA BLOG

Breaking

Recent-Post

ads header

Thursday, March 2, 2017

WAZIRI MAHIGA AKUTANA NA MKURUGENZI MTENDAJI WA KAMPUNI ARKADIA LTD


Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe.Balozi Dkt. Augustine Mahiga akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya ARKADIA Ltd. Dr. Ezio Copat walipokutana kwa mazungumzo ofisini kwake mjini Dodoma 

Waziri Mhe. Balozi Dkt. Mahiga akimsikiliza Dr. Copat walipokutana kwa mazungumzo mjini Dodoma 
Waziri Mhe. Balozi Dkt. Mahiga akifafanua jambo wakati wa mazungumzo 
Mazungumzo yakiendelea

No comments:

Post a Comment