Mkufunzi kutoka Wizara ya Fedha, Dkt. Sako Mwakalobo akitoa mafunzo kwa Wajumbe wa Bodi ya Ushauri ya Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA), kuhusu Usimamizi wa Vihatarishi katika utekelezaji wa majukumu yao kama viongozi na jinsi ya kuvikabili. Mafunzo hayo yamefanyika Julai 18, 2023 katika ukumbi wa mikutano wa BRELA, jijini Dar es Salaam.
Wednesday, July 19, 2023
New
WAJUMBE BODI YA USHAURI BRELA WAPIGWA MSASA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment