Meneja Mwandamizi Huduma ya Premier Banking
CRDB, Gibson Mlaseko, akizungumza katika Jukwaa
la Biashara la Watendaji Wakuu wa Makampuni na Taasisi mbalimbali (2000 CEO's
Business Forum) lililofanyika jijini Dar es Salaam Agosti
11, 2023 na kudhaminiwa na Benki ya CRDB.
Naibu Waziri wa Uwekezaji, Exaud Kighahe (wa nne kushoto) akiwa katika picha ya kumbukumbu na wadhamini wa Jukwaa la Biashara la Watendaji Wakuu wa Makampuni na Taasisi mbalimbali kutoka Benki ya CRDB.
Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya KP Motors, Masoud Kipanya akichangia mada wakati wa Jukwaa la Biashara la Watendaji Wakuu wa Kampuni na Taasisi mbalimbali lililofanyika jijini Dar es Salaam na kudhaminiwa na Benki ya CRDB.




No comments:
Post a Comment