MUFTI KWENDA MOROCCO LEO - MAGENDELA BLOG

Breaking

Recent-Post

ads header

Thursday, March 14, 2024

MUFTI KWENDA MOROCCO LEO


 MUFTI wa Tanzania Dk. Abubakar Zubeir Ali ataondoka leo Machi 15, 2024 kuelekea Morocco kwa ziara ya kikazi ya siku tano.


Kwa mujibu wa taarifa ya Msemaji Maalum wa Mufti, Dk. Harith Nkusa, kwenye ziara hiyo, Mufti ataambatana na Katibu wa Mufti Sheikh Mussa Hemed bin Jumaa.


Akiwa nchini humo Mufti atahudhuria mkutano wa Mamufti wa Bara la Afrika.


No comments:

Post a Comment