RAIS DK.MWINYI APOKEA POLE KUTOKA KWA SHIRIKA LA MZINGA - MAGENDELA BLOG

Breaking

Recent-Post

ads header

Tuesday, March 19, 2024

RAIS DK.MWINYI APOKEA POLE KUTOKA KWA SHIRIKA LA MZINGA

NA MWANDISHI WETU, ZANZIBAR

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amepokea salamu za pole  Ikulu Mnazi Mmoja kutoka kwa Luteni Jenerali Mstaafu Samuel Ndomba ambaye ni Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Mzinga kwa niaba ya uongozi wa shirika hilo,   kufuatia kifo cha Baba yake Mzazi, Rais Mstaafu wa Zanzibar na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Mzee Ali Hassan Mwinyi .

Rais Dk.Mwinyi ameshukuru uongozi wa shirika hilo kwa kuja kumfariji






No comments:

Post a Comment