Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo Ado Shaibu akipokea cheti cha uraia wa heshima (Honorary Citizenship) wa Jiji la Pensecola lililopo Florida, Marekani
Ado ametunukiwa cheti hicho na Meya wa Jiji hilo wakati akihudhuria programu Maalum ya Uongozi ya IVLP inayotolewa na Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani.
No comments:
Post a Comment