RAIS DKT SAMIA AFANYA UTEUZI - MAGENDELA BLOG

Breaking

Recent-Post

ads header

Saturday, April 13, 2024

RAIS DKT SAMIA AFANYA UTEUZI


NA MWANDISHI WETU

RAIS DKT Samia suluhu Hassan,amemteua Balozi Othman Yakub kuwa Balozi wa Tanzania nchini, Comoro, akichukua nafasi ya Balozi Pereira Ame Silima ambaye amemaliza muda wake.

Na uteuzi huo unaanza mara moja.

No comments:

Post a Comment