Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akitunukiwa Udaktari wa Falsafa wa Heshima (Honoris Causa) kwenye Sekta ya Anga na Rais wa Chuo Kikuu cha Sayansi ya Anga (Korean Aerospace University) Hee Young Hurr wa kwanza kulia, Jijini Seoul, Jamhuri ya Korea tarehe 03 June, 2024. Wa kwanza kushoto ni Amidi wa Shule Kuu Soo Chang Hwang
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi mbalimbali wa Chuo Kikuu cha Sayansi ya Anga cha Korea pamoja na Wanafunzi wa Chuo hicho mara baada ya kutunukiwa Udaktari wa Falsafa ya Heshima katika Sekta ya Anga (Honoris Causa) Jijini Seoul Jamhuri ya Korea tarehe 03 Juni 2024.












No comments:
Post a Comment