KAPINGA KATIKA MAPOKEZI YA RAIS SAMIA MWANZA - MAGENDELA BLOG

Breaking

Recent-Post

ads header

Saturday, October 12, 2024

KAPINGA KATIKA MAPOKEZI YA RAIS SAMIA MWANZA


NAIBU Waziri wa Nishati, Judith Kapinga  leo Oktoba 12, 2024 ameungana na viongozi mbalimbali wa Serikali pamoja na wananchi kwenye mapokezi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Jijini Mwanza.


Rais Samia yupo mkoani Mwanza kwa ziara ya kikazi.





No comments:

Post a Comment