WASHIRIKI WA KONGAMANO LA JOTOARDHI AFRIKA WATEMBELEA VYANZO VYA JOTOARDHI MBEYA - MAGENDELA BLOG

Breaking

Recent-Post

ads header

Sunday, October 27, 2024

WASHIRIKI WA KONGAMANO LA JOTOARDHI AFRIKA WATEMBELEA VYANZO VYA JOTOARDHI MBEYA

 

Washiriki hao kutoka ndani na nje ya nchi wametembelea maeneo ya Ngozi na Kiejo-Mbaka mkoani Mbeya ikiwa ni sehemu ya programu za Kongamano la Siku Saba la ARGeo-C10  ambalo pia lililenga kutangaza hazina ya Jotoardhi iliyopo Tanzania ili kuvutia uwekezaji.







Picha mbalimbali zikionesha Washiriki wa Kongamano la Kimataifa la Jotoardhi Afrika (ARGeo-C10) wakitembelea  vyanzo vya nishati ya Jotoardhi nchini.

No comments:

Post a Comment