ZITTO KABWE AJIANDIKISHA KUPIGA KURA KIGOMA - MAGENDELA BLOG

Breaking

Recent-Post

ads header

Friday, October 11, 2024

ZITTO KABWE AJIANDIKISHA KUPIGA KURA KIGOMA


"Nimejiandikisha katika daftari la Wakazi Kitongoji cha Kibingo A katika Mamlaka ya Mji mdogo wa Mwandiga, Wilaya ya Kigoma. 

Nawasihi Watanzania wote kujiandikisha kwenye Mitaa, Vijiji na Vitongoji vyenu ili kuweza kupiga kura katika Uchaguzi wa tarehe 27 Novemba 2024"- Zitto Kabwe, Kiongozi wa Chama Mstaafu, ACT Wazalendo

No comments:

Post a Comment