NA MWANDISHI WETU
MWANAHABARI na mwakilishi wa Clouds Media Group (CMG) kanda ya Kaskazini Dixon Busagaga ameendelea kuweka rekodi baada ya kupanda kilele cha Uhuru kwa mara ya 22 sasa baada ya kuianza safari hiyo mwaka 2012 .
@dixonbusagaga alikua ni miongoni mwa kundi la watu 300 wakiwemo waandishi wa habari waliopanda Mlima Kilimanjaro kama sehemu ya maadhimisho ya miaka 63 ya Uhuru wa Tanganyika wakati huo Clouds Media Group (CMG) ikiadhimisha miaka 25 tangu kuanzshwa kwake .
No comments:
Post a Comment