JK AWASILISHA UJUMBE WA RAIS SAMIA KWA RAIS MUSEVENI - MAGENDELA BLOG

Breaking

Recent-Post

ads header

Wednesday, April 9, 2025

JK AWASILISHA UJUMBE WA RAIS SAMIA KWA RAIS MUSEVENI


NA MWANDISHI WETU

Pembenzoni mwa Mkutano wa Uongozi wa Afrika wa nane jijini Kampala Uganda leo, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, Rais Mstaafu  wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akiwa kama mjumbe maalum, amewasilisha ujumbe maalum kwa Rais Yoweri Kaguta Museveni kutoka kwa Rais Samia Suluhu Hassan. 


Rais Museveni alimshukuru kwa ziara na kumuomba amfikishie salamu zake kwa Mheshimiwa Rais Samia na watu wa Tanzania.

No comments:

Post a Comment