Naibu Waziri wa Afya na Mbunge wa Siha, Dkt. Godwin Mollel, amechukua fomu ya kugombea tena Ubunge wa Jimbo la Siha, mkoani Kilimanjaro, kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Fomu hiyo imekabidhiwa kwake na Katibu wa CCM Wilaya ya Siha, Andrea Gwaje
No comments:
Post a Comment