WANANCHI WAKARIBISHWA BANDA LA WIZARA YA NISHATI NANENANE DODIMA - MAGENDELA BLOG

Breaking

Recent-Post

ads header

Monday, August 4, 2025

WANANCHI WAKARIBISHWA BANDA LA WIZARA YA NISHATI NANENANE DODIMA


NA MWANDISHI WETU

WIZARA ya Nishati imeendelea kukaribisha wananchi kutembelea Banda la Wizara ya Nishati  katika Maonesho ya Kimataifa ya Wakulima (NANENANE) yanayoendelea katika Viwanja vya Nzuguni jijini Dodoma.


 Fredrick Marwa, Mjiolojia kutoka Wizara ya Nishati amesema katika maonesho hayo Wizara inaeleza kuhusu  kazi mbalimbal zinaoendelea kufanyika ikiwemo za  utafutaji na uchimbaji wa mafuta na gesi katika maeneo mbalimbali nchini ikiwemo Bonde la Eyasi Wembere.


Marwa amesema wananchi watakapofika katika Banda la Wizara ya Nishati pia watajionea mafanikio mbalimbali yaliyofikiwa na Wizara  pamoja na Taasisi zake ikiwemo TANESCO, EWURA, REA na TPDC.





No comments:

Post a Comment