WATUMISHI SUA WATEMBELEA NGORONGORO - MAGENDELA BLOG

Breaking

Recent-Post

ads header

Tuesday, August 26, 2025

WATUMISHI SUA WATEMBELEA NGORONGORO



Baadhi ya Watumishi wa Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) wakiwa nje ya geti la kuingia katika Mamlaka ya Hifadhi ya Eneo la Ngorongoro, Agosti 25, 2025 ikiwa ni ziara ya kutembelea Hifadhi hiyo na Kuunga juhudi za Utalii wa ndani.



No comments:

Post a Comment