NA MWANDISHI WETU
MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amebainisha kwamba lengo kubwa la kuwaondoa wamachinga katika barabara zinalizoinga Soko Kuu la Kariakoo ni kuzifanyia njia hizo kuwa wazi na kupitika kwa urahisi na si kuwafukuza wafanyabushsra hao wadogowadogo
"Tunataka njia zote zonazoingia Soko Kuu na nyinginezo ambazo wamachinga walikuwa wanaweka biashara zao kuziacha wazi na waingie maeneo halali ya kufanyia shughuli nasi kwamba tunawafukuza.
"Wakati wa machanga yalipotokea hapo Kariakoo, tulitaka kupata aibu Kwa maana waokoaji walipokuwa wanakwenda walitumia mwingi tofauti na inavyotakiwa, hivyo wanachotakiwa ni kuziacha wazi ili zipitike Kwa urahisi na nataka, amesema.





No comments:
Post a Comment