Abdul afafanua kuhusu makahaba Bongo Movie - MAGENDELA BLOG

Breaking

Recent-Post

ads header

Saturday, March 22, 2014

Abdul afafanua kuhusu makahaba Bongo Movie




MWIGIZAJI wa siku nyingi wakati huo akiwa na kundi la Mambo Hayo, Abdulkadir Nzige maarufu kwa jina la Abdul amesema baadhi ya wasanii wanaofanya ukahaba, walianza tabia hiyo angali hawajaingia kwenye uwanja huo.

"Ninachokiamini ni kwamba hawa wasanii wanaofanya uchafu huo walikuwa nao tangu hawajaingia katika filamu, hivyo si vema kuwajumuisha na wengine.


"Kingine ninachoamini ni kwamba wengi wao wameingia katika filamu ili kupata soko la shughuli yao kwa maana baada ya kuonekana kwenye luninga mambo yao yanawaoonyokea," alisema.

Na Magendela Hamisi

No comments:

Post a Comment