SERENGETI FIESTA YAFUNIKA NDANI YA GEITA
Mkali kutoka pande za Mwanza, Young Killer akichana mistari stejini.Ommy Dimpoz akiimba kwa pamoja na mrembo kutoka pande za Geita nyimbo ya ME & YOU.Niki wa Pili akiwakilisha Crew ya Weusi.Mkongwe wa Hip Hop, Fid Q akitiririsha 'vesi' ndani ya Ukumbi wa Desire Park.Chege na Temba wakipagawisha mashabiki stejini.Mzee wa Kula Ujana, 'Nay wa Mitego' akiimba sambamba na mashabiki wake Geita.
TAMASHA la
Serengeti Fiesta 2014 usiku wa kuamkia leo limeonyesha hali ya
kukubalika vilivyo kwa wakazi wa Geita baada ya uongozi wa Tamasha hilo
kuamua kuwapa burudani hizo kwa mara ya kwanza na wakazi hao kuonyesha
hali ya kuitikia vilivyo kwa kufurika ndani ya Ukumbi wa Desire Park
mkoani humo.
No comments:
Post a Comment