Rapper
kutoka kundi la Weusi Nick wa pili amesema anatarajia kurudi chuo
kuchukua PhD, Mwaka jana Nicki wa pili alifanikiwa kuchukua Master na
kuwa kati ya A-list ya wasanii wa Tanzania wenye Kisomo cha kuridhisha
lakini mweusi huyu anaonekana kutoridhika bado baada ya kuonesha nia ya
kurudi tena chuo ili kuchukua PhD
Sunday, October 12, 2014
New
NICK WA PILI KUKUCHUKUA KUCHUKUA PhD
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment