SERENGETI FIESTA 2014 YAFUNIKA MBAYA DODOMA! - MAGENDELA BLOG

Breaking

Recent-Post

ads header

Sunday, October 5, 2014

SERENGETI FIESTA 2014 YAFUNIKA MBAYA DODOMA!



Msanii wa Bongo Fleva, Baba Levo akitumbuiza kwa staili yake kwenye jukwaa la Serengeti Fiesta 2014 Dodoma usiku wa kuamkia leo. 

Mo Music akitoa burudani kwa wakzi wa Dodoma waliyofulika kwenye Tamasha la Serengeti Fiesta 2014 ndani ya Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma.
Msanii zao la Serengeti Super Nyota G-Lucky akifanya makamuzi ndani ya uwanja wa Jamhuri Dodoma.

Chipukizi wa Bongo Fleva, Baraka Da Prince akiwajibika jukwaani

No comments:

Post a Comment