KAMISHNA
Jenerali wa Magereza, Mzee Ramadhani Nyamka Septemba 26, 2022, jijini
Dodoma akila kiapo cha uadilifu mbele ya Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu
ya Tanzania, Kanda ya Dodoma, Mhe. Gerson Mdemu kuwa Mjumbe wa Tume ya
Utumishi kwa Jeshi la Polisi, Magereza, Uhamiaji, Zimamoto na Uokoaji.
Picha na Jeshi la Magereza
No comments:
Post a Comment