Mkuu
wa Mkoa wa Mara, Meja Generali Suleiman Mzee, akisaini kitabu cha
wageni alipowasili katika maadhimisho ya Wiki ya Huduma za Fedha
Kitaifa, yanayoendelea katika Viwanja vya Rock City Mall, jijini Mwanza.
Mkuu wa Mkoa wa Mara, Meja Generali Suleiman Mzee, akizungumza na Mwalimu wa VICCOBA, Bw. Evance Chipanda, alipotembelea katika maadhimisho ya Wiki ya Huduma za Fedha Kitaifa, yanayoendelea katika Viwanja vya Rock City Mall, jijini Mwanza.
(Picha na Kitengo cha Mawasiliano Wizara ya Fedha na Mipango, Mwanza)
No comments:
Post a Comment