MWANAMUZIKI na Mkurugenzi wa Hightable Sound Entertainment, Elias Barnabas 'Barnaba Classic', amefanikiwa kusajili jina la Biashara (Poa Water), ambalo atalitumia katika Biashara yake ya maji.
Mwanamziki huyo amepata huduma ya papo kwa papo baada ya kutembelewa ofisini kwake na maafisa wa BRELA waliopo katika mchakato wa kuwatembelea wadau mtaa kwa mtaa.
BRELA inaendelea kutoa huduma zake za kurasimisha biashara kupitia mfumo wa usajili kwa njia ya mtandao (ORS).
 


 

 
 
 
 



No comments:
Post a Comment