DKT. BITEKO AMTEMBELEA RAIS WA ZANZIBAR KUHANI MSIBA WA MZEE ALI HASSAN MWINYI - MAGENDELA BLOG

Breaking

Recent-Post

ads header

Wednesday, March 6, 2024

DKT. BITEKO AMTEMBELEA RAIS WA ZANZIBAR KUHANI MSIBA WA MZEE ALI HASSAN MWINYI


NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amemtembelea na kumpa pole Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi  nyumbani kwake Migombani, Unguja kutokana na kifo cha Baba yake mzazi, Hayati Mzee Ali Hassan aliyefariki dunia Februari 29, 2024 na kuzikwa Machi 2  2024. Kushoto kwa Rais Dkt.  Mwinyi ni Mkewe, Mama Mariam Mwinyi.

No comments:

Post a Comment