RAIS SAMIA AFANYA UTEUZI - MAGENDELA BLOG

Breaking

Recent-Post

ads header

Tuesday, March 5, 2024

RAIS SAMIA AFANYA UTEUZI


NA MWANDISHI WETU

RAIS Dkt Samia Suluhu Hassan, amemteua Mhandisi Dkt. Prosper Mgaya kuwa Mkuu wa Chuo Cha Taifa Cha Usafirishaji (NIT).

Kabla ya uteuzi huo, Dkt. Mgaya alikuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA).

Dkt. Mgaya anachukua nafasi ya Prof. Zacharia Mganilwa ambaye amemaliza muda wake. Uteuzi huo umeanza Machi 4, 2024.

No comments:

Post a Comment