NA MWANDISHI WETU
MKURUGENZI wa Idara ya Habari (Maelezo) na Msemaji Mkuu wa Serikali, Thobias Makoba, ametembelea Ofisi za Jamii Forums, zilizopo Kawe jijini Dar es Salaam.
Makoba, baada ya kufika katika ofisi hizo Leo, Julai 10, 2024 alipokelewa na Mkurugenzi Mtendaji wa Jamii Forums, Maxence Melo.
Matukio katika picha
No comments:
Post a Comment