MWANDISHI WETU
MWANACHAMA Kindakindaki wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), EDITHA Edward amejitokeza kutia nia kuwania Ubunge Jimbo la Kibamba.
Hii ni mara ya pili kwa mwanachama huyo kuingia katika kinyanga'nyiro hicho ambapo mwaka 2020 kura zake hazikutosha.
"Baada ya kura zangu kutotosha mwaka 2020, kwa sasa nimejipima naona naweza, hivyo nikipita katika mchakato huu nataweka bayana vipaumbele vyangu, " amesema.
No comments:
Post a Comment