DKT. BITEKO AMKABIDHI CHETI MWENYEKITI BODI YA WAKURUGENZI NCAA - MAGENDELA BLOG

Breaking

Recent-Post

ads header

Tuesday, August 26, 2025

DKT. BITEKO AMKABIDHI CHETI MWENYEKITI BODI YA WAKURUGENZI NCAA


Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Dotto Biteko (katikati) akimkabidhi cheti Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi NCAA , Mkuu wa Majeshi Mstaafu, Jenerali Venance Mabeyo kufuatia NCAA kuwa sehemu ya wadhamini wa kikao cha Wenyeviti wa Bodi na wakuu wa Taasisi kilichofanyika Jijini Arusha tarehe 23-26 Agosti, 2025. Kushoto ni Kamishna wa Uhifadhi NCAA,  Abdul-Razaq Badru.



No comments:

Post a Comment