Magendela Hamisi
NGULI wa muziki wa hipo hop, Joseph Haule 'Prof. Jay' amesema kuwa kwa sasa atakuwa akifanya
ngoma mfululizo ili kukidhi haja za mashabiki
"Ni kweli nilikuwa kimya kwa kipindi na ndipo hivi karibuni nilioachia ngoma mbili ambazo zimewashtua mashabiki wangu kuwa bado niko vizuri,"alisema.
Baadhi ya nyimbo mpya za nyota hiyo ni Ni Lipi Sijasikia na nyingine ambayo ameizindua leo Septemba 13 mwaka huu jijini Dar es Salaam, sanjari website yake itakuwa ikihusu masuala yake ya kimuziki.
wake.
No comments:
Post a Comment