Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinapenda kuwataarifu wanachama wake na
watanzania wote kuhusu kufanyika kwa vikao vya kawaida vya uongozi ngazi
ya Taifa Jijini Dodoma kuanzia tarehe 26 Septemba, 2022 Kamati Kuu ya
Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (CC) na tarehe 27 na 28 Septemba, 2022
Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa (NEC).
Sunday, September 25, 2022
New
CCM YATOA TAARIFA KWA WANACHAMA WAKE KUHUSU KUFANYIKA VIKAO VYA KAWAIDIA VYA UONGOZI NGAZI YA TAIFA JIJINI DODOMA.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment