Jengo
la Masjala lililojengwa na Mpango wa Kurasimisha Rasilimali na Biashara
za Wanyonge Tanzania lililozinduliwa na Alex Ngailo kwa niaba ya Mkuu
wa Wilaya ya Makete katika Kijiji cha Mwakauta Septemba 25, 2022.
Mwakilishi
wa Mkuu wa Wilaya ya Makete, Alex Ngailo na Mbunge wa Makete, Festo
Sanga (kushoto), na Mkurugenzi Mtendaji wa MKURABITA, Dkt Seraphia
Mugembe pamoja na Mwenyekiti wa kijiji hicho, wakifunua pazia ikiwa ni
ishara ya uzinduzi wa wa jengo hilo.
Mhandisi
wa Ujenzi wa MKURABITA, Juma Mtali akimuonesha Dkt Mugembe na viongozi
wengine moja ya ofisi katika jengo hilo la Masjala ambalo ujenzi wake
umegharimu zaidi ya sh. mil. 46.
Mkurugenzi
Mtendaji wa MKURABITA, Dkt Seraphia Mugembe, akihutubia katika hafla
hiyo na kuahidi kununua samani kwa ajili ya ofisi hiyo pamoja na
kugharamia uunganishaji umeme katika jengo hilo.
Mwakilishi wa DC Makete akihutubia wakati wa hafla hiyo.
Mbunge wa Makete, Sanga akiwasalimia wananchi.
Dkt Mugembe akisalimiana na mmoja wa akina mama wa kijiji hicho.
Viongozi mbalimbali wakiungana kucheza wimbo wa dini wakati wa hafla hiyo..
Afisa Ardhi Halmashauri ya Wilaya ya Makete, Edward Mwaigombe aliyemwakilisha Mkurugenziu wa Halmashauri hiyo.
Afisa Mtendaji wa Kijiji cha Mwakauta, Nelson Tweve akisoma taarifa ya ujenzi wa jengo hilo.
Ofisa wa Benki ya NMB akijitambulisha
Mhandisi wa Ujenzi wa MKURABITA, Juma Mtali akimuonesha Dkt Mugembe na viongozi wengine moja ya ofisi katika jengo hilo la Masjala ambalo ujenzi wake umegharimu zaidi ya sh. mil. 46.
Meneja Urasimishaji Mijini wa MKURABITA, Mwesiga Ileta akijitambulisha.
Jengo la Masjala jipya na la zamani.
Bibi mkazi wa Kijiji cha Mwakauta akiwa na furaha baada jengo hilo kuzinduliwa.
Muonekano wa jengo hilo.
Choo kilichojengwa sambamba na jengo hilo
PICHA ZOTE NA RICHARD
No comments:
Post a Comment