Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua ujenzi wa madarasa katika Shule ya
Msingi Narungombe akiwa katika ziara Wilayani Ruangwa, Novemba 18,
2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua ujenzi wa Kituo cha Afya Nangurugai
akiwa katika ziara wilayani Ruangwa, Novemba 18, 2022. (Picha na Ofisi
ya Waziri Mkuu) Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua ujenzi wa Kituo cha Afya Nangurugai
wilayani Ruangwa, Novemba 18, 2022. Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa
Halmashauri ya Wilaya hiyo, Frank Chonya. (Picha na Ofisi ya Wziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wanawake ambao walikuwa wakipata
huduma za matibabu ya watoto wao katika Kituo cha Afya cha Narungombe
wilayani Ruangwa. Alikuwa katika ziara wilayani humo, Novemba 18,
2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akipata malezo kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa
Halmashauri ya wilaya ya Ruangwa, Frank Chonya (wa tatu kulia) kuhusu
ujenzi wa Kituo cha Afya cha Namgurugai wilayani humo, Novemba 18, 2022.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua ujenzi wa madarasa katika Shule ya
Msingi, Narungombe wilayani Ruangwa akiwa katika ziara wilayani humo,
Novemba 18, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Friday, November 18, 2022
New
ZIARA YA MAJALIWA RUANGWA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment