Waziri wa Nishati, Mhe. January Makamba akijibu
hoja za Wajumbe wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini wakati
wa kujadili taarifa ya Wizara ya Nishati kuhusu hali ya utekelezaji wa mradi wa
kusambaza umeme vijijini awamu ya tatu, mzunguko wa pili jana tarehe 17 Agosti,
2023 katika Ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma. Kushoto ni Naibu
Waziri wa Nishati, Mhe. Stephen Byabato

Mwenyekiti wa Bodi wa Wakala wa Nishati
Vijijini (REA), Ndg. Janeth Mbene akitolea maelezo hoja za Wajumbe wa Kamati ya
kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini wakati wa kujadili taarifa ya Wizara ya
Nishati kuhusu hali ya utekelezaji wa mradi wa kusambaza umeme vijijini awamu
ya tatu, mzunguko wa pili jana tarehe 17 Agosti, 2023 katika Ukumbi wa
Msekwa Bungeni Jijini Dodoma. Kuanzia kulia ni Waziri wa Nishati, Mhe.
January Makamba, Naibu Waziri wa Nishati, Mhe.
Stephen Byabato na Mjumbe wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya
Nishati na Madini, Mhe. Iddi Kassim Iddi.

Mwenyekiti wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya
Nishati na Madini, Mhe. Dustan Kitandula akiongoza kikao cha kamati hiyo
kilichopokea na kujadili taarifa ya Wizara ya Nishati kuhusu hali ya
utekelezaji wa mradi wa kusambaza umeme vijijini awamu ya tatu, mzunguko wa
pili jana tarehe 17 Agosti, 2023 katika Ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini
Dodoma.
Mkurugenzi Mkuu wa wakala
wa Nishati Vijijini (REA), Mhandisi Hassan Saidy akiwasilisha taarifa ya Wizara
ya Nishati kuhusu hali ya utekelezaji wa mradi wa kusambaza umeme vijijini
awamu ya tatu, mzunguko wa pili mbele ya Wajumbe wa Kamati ya kudumu ya Bunge
ya Nishati na Madini jana tarehe 17 Agosti, 2023 katika Ukumbi wa Msekwa
Bungeni Jijini Dodoma.
(PICHA NA OFISI YA BUNGE)
No comments:
Post a Comment