WATANZANIA WANG’ARA CRDB MARATHON 2023 - MAGENDELA BLOG

Breaking

Recent-Post

ads header

Sunday, August 13, 2023

WATANZANIA WANG’ARA CRDB MARATHON 2023

 

Rais wa Zanzibar Dk. Hussein Mwinyi na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela, wakimsikiliza Mwenyekiti wa CRDB Foundation, Martin warioba wakati wakishiriki mbio za KM 5 za CRDB Marathon.

Naibu Spika wa Bunge, Mussa Zungu (wa tatu kushoto) akishirii mbio za KM 5 za CRDB Marathon jijini Dar es Salaam leo Agosti 13, 2030.

Washiriki wa mbio za Kilometa 21 zilizoanzia na kuishia katika viwanja vya Farasi Oyster Bay jijini Dar es Salaam leo Agosti 13, 2023.

No comments:

Post a Comment