Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip
Mpango akisikiliza maelezo kutoka kwa Mtendaji Mkuu wa DAWASA Mhandisi
Crypian Luhemeja wakati alipotembelea mitambo ya uzalishaji Maji ya Ruvu
Chini iliopo mkoani Pwani leo tarehe 09 Novemba 2022.
No comments:
Post a Comment