Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akisalimiana na mgeni wake Balozi wa Kenya Nchini
Tanzania Mhe.Isaac Njenga alipofika kujitambulisha leo Ikulu jijini
Zanzibar akiwa na ujumbe aliofuatana nao.[Picha na Ikulu] 16/11/2022.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi
(kulia) akimsikiliza Mgeni wake Balozi wa Kenya Nchini Tanzania
Mhe.Isaac Njenga wakati wa mazungumzo yao alipofika Ikulu jijini
Zanzibar leo kujitambulisha.[Picha na Ikulu]16/11/2022.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi
(kulia) alipokuwa akizungumza na Mgeni wake Balozi wa Kenya Nchini
Tanzania Mhe.Isaac Njenga wakati wa mazungumzo yao alipofika Ikulu
jijini Zanzibar leo kujitambulisha.[Picha na Ikulu]16/11/2022.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi
(kulia) akiwa katika picha na Balozi wa Kenya Nchini Tanzania
Mhe.Isaac Njenga mara baada ya mazungumzo yao leo
alipofika kujitambulisha Ikulu jijini Zanzibar.[Picha na
Ikulu]16/11/2022.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi
(kulia) alipokuwa akibadilishana mawazo na Mgeni wake Balozi wa Kenya
Nchini Tanzania Mhe.Isaac Njenga mara baada ya mazungumzo yao leo
alipofika kujitambulisha Ikulu jijini Zanzibar.[Picha na
Ikulu]16/11/2022.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi
(kulia) akiagana na mgeni wake Balozi wa Kenya Nchini Tanzania
Mhe.Isaac Njenga,baada ya mazungumzo leo alipofika Ikulu jijini
Zanzibar kujitambulisha.[Picha na Ikulu]16/11/2022.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi
(kulia) akisalimiana na mgeni wake Balozi wa Afrika Kusini Nchini
Tanzania Mhe.Noluthando Mayende Mapele, leo alipofika Ikulu jijini
Zanzibar .[Picha na Ikulu] 16/11/2022.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi
(kulia) akifafanua jambo wakati akizungumza na Mgeni wake Balozi
wa Afrika Kusini Nchini Tanzania Mhe.Noluthando Mayende Mapele,
leo alipofika Ikulu jijini Zanzibar kujitambulisha.[Picha na
Ikulu]16/11/2022.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi
(kulia) akizungumza na Mgeni wake Balozi wa Afrika Kusini Nchini
Tanzania Mhe.Noluthando Mayende Mapele, leo wakati alipofika Ikulu
jijini Zanzibar kujitambulisha.[Picha na Ikulu]16/11/2022.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi
(kulia) akiagana na mgeni wake Balozi wa Afrika Kusini Nchini Tanzania
Mhe. Noluthando Mayende Mapele,baada ya mazungumzo leo
alipofika Ikulu jijini Zanzibar kujitambulisha.[Picha na
Ikulu]16/11/2022..
No comments:
Post a Comment